Breaking News

Your Ad Spot

Aug 15, 2011

RAIS AMUOMBOLEZA NHIGULA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Balozi George Nhigula,Tabata jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Marehemu Balozi Nhigula alifariki jana katika hospitali ya Magomeni Mikumi jijini alipokuwa kipatiwa matibabu.Marehemu amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo ubunge,balozi katika nchi mbalimbali na alikuwa katibu mkuu wa kwanza mwafrika katika wizara ya Kazi kuanzia mwaka 1965hadi 1966.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa familia ya marehemu Balozi George Nhigula nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo asubuhi(photos by Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages