Breaking News

Your Ad Spot

Aug 15, 2011

ZIARA YA DK SHENI KUSINI PEMABA

5303-----Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ALHaj Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea katikakambi ya wachumaji wa karafuu ya Ndugu Mohamed Khamis Ali Yussuf,ChangaweniMkoani Pemba,alipofanya ziara maalum ya kuona maendeleo za uchumaji wa zaohilo
Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ALHaj Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia mizaniya kupimia karafuu alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo katika kituo chaununuzi wa karafuu cha Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba.(14/08/2011
Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ALHaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba,baada yakufutari nao katika futari aliyowaandalia wananchi hao katika viwanja vya Ikuluya Chake chake Pemba.(14/08/2011)
Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ALHaj Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza nawananchi wa Mtuhaliwa alipotembelea katika kambi ya wachumji wa karafuu katikaeneo hilo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba,kutembelea mbali mbali zawachumaji wa zao hilo.(14/08/20110 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages