Breaking News

Your Ad Spot

Aug 10, 2011

tiGo YAJA NA HUDUMA ZA BIMA YA AJALI NA UJONGWA KWA WATEJA

KAMPUNi ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania imeingia katika hatua nyingine za kuboresha huduma zake, kwaa kunzisha huduma mpya ya 'Tigo Bima'  ambayo ni huduma ya bima ya ajali na ugonjwa kwa mteja na mwanafamilia mmoja, kwa wateja watakaokuwa wamejiunga kupitia fomu maalum. Pichani, Mratibu wa huduma hiyo kutoka kampuni ya Micro Ensure, Mussa Lubango (kulia) akitangaza huduma hiyo leo katika hoteli ya Peacock, Dar es Salaam, Kushoto ni  Meneja Bidhaa wa Tigo, Joel Bendera.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages