Breaking News

Your Ad Spot

Aug 9, 2011

UTALII HADI SOKO LA FERI

Watalii kutoka kundi la Earth  la Italia  wakiwa katika soko la Samaki la Feri mjini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya utalii wao hapa nchini. Watalii hao walitarajia kuondoka leo jijini Dar es Salaam kwenda katika bunga za wanyama za Ruaha na Mikumi. 
Watalii hao wakifurahia kamera ya mpigapicha wa Nkoromo Daily Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages