Breaking News

Your Ad Spot

Sep 13, 2011

CUF WAZINDUA KAMPENI LEO

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwa na mgombea wa ubunge wa jimbo la Igunga Leopold Mahona, wakati wa msafara wa kwenda  viwanja vya kumbukumbu  ya Samora kuzindua kampeni za chama hicho leo 
Baadhi ya wafuasi wa CUF wakiwa na bango la kulaani tabia ya baadhi ya vyama vya siasa kumwagia tindikali wafuasi wa vyama vingine, kama ilivyotokea wiki iliyopita ambapo mfuasi wa CCM alimwagiwa tindikali na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA na hadi sasa amelazwa hospitali ya KCMC ambako alihamishiwa kutoka hospitali ya wilaya ya Igunga baada ya hali yake kuwa mbaya. 
Wafuasi wa CUF wakiwa na bango lanye ujumbe wa kukataa vita Igunga wakati wa maandamano ya kwenda viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho.c

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages