Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bw. George Kavishe (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana kuhusu Tamsha la Kwanza la Bia Tanzania lililoandaliwa na Kilimanjaro Premium Lager and Kampuni ya Bongo 5 mwezi ujao. Kushoto ni Mratibu wa Matukio wa Bongo 5, Olive Nimaga na kulia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania, Dorris Malulu.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269