Breaking News

Your Ad Spot

Sep 11, 2011

MSIBA WA KITAIFA ZANZIBAR:RAIS KIKWETE ASHUHUDIA MIILI YA MAREHEMU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(kulia) wakiwa  katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kuona  miili  ya watu waliofariki katika tukio la ajali ya Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini ikielekea Pembawa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume,na Waziri wanOfisinya Makamo wa pili wa Rais Mohamed Aboud,walifika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kuona maiti mbali mbali zilizofariki katika tukio la ajali ya Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini ikielekea Pemba. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete,akibadilishana mawazo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi, katika viwanja hivyo vya Maisara.(picha na Ramadhan Oyhman, lkulu Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages