Breaking News

Your Ad Spot

Sep 13, 2011

NDEGE YAANGUKA MBEYA

Hapa ndio mahali ndege hii ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla. Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.

KAPINGAZ Blog Tunawapa pole wote waliopatwa na tatizo hili, kwa taarifa tulionaza hamna mtu aliyepoteza maisha wote wametoka salama ni mmoja tu alipata majeraha madogo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Taarifa hii tumeipata kutoka mbeyayetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages