Breaking News

Your Ad Spot

Sep 9, 2011

MWANAMUZIKI WA ENZI HIZO AFARIKI

Kasaloo akiwa na wanamuziki wenzake wakati wa uhai wake.
"Kasaloo Kyanga amefariki dunia leo alfajiri. Papaa Tshimanga amenithibitishia. Taarifa zaidi bila shaka zitapatikana. Siku njema". Hii ni sms ambavyo imetumwa Nkoromo Daily  muda mfupi uliopita ikieleza hivyo kutoka kwa mdau mkubwa wa masuala ya muziki wa dansi hapa nchini hususan miondoko ya Kavasha, Mtangazaji wa TBC FM Mbazigwa Hassan. namba yake ni +255784897377

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages