Breaking News

Your Ad Spot

Nov 23, 2011

KIKAO CHA NEC DODOMA CHAIVA LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika kikao mkutano huo. Kulia ni Mzee Kingune Ngombale -Mwiru na Watatu kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye
 Nape akimsalimia Sumaye
 Katibu wa Nec, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba akimsalimia Lowassa. Katikati ni Mzee Kingune
 Lowassa na Mzee Kingune
 Makongoro Nyerere na mwenzake wakipita makabrasha
 Lowassa na Shamhuna
Wajumbe wakipitia makabrasha. Kulia ni Chenge
 Zainabu Kawawa akimbumbatia kwa bashasha Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma. Katikati ni Katibu Mkuu wa UVCCM Martine Shigela
 Wajumbe wakiwa katika mkutano wa NEC mjini Dodoma
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa tayari kuongoza kikao cha NEC leo katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Wengine kutoka Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa, Rais wa Zanzibar Dk. Sheni, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.
 Kikao kwa furaha
 Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akitoa taarifa ya kikao kabla ya kufunguliwa na Kikwete
 Wajumbe kikaoni (kushoto) ni Spika wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Ameir Kificho

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages