Breaking News

Your Ad Spot

Nov 24, 2011

NEC YATEUA MAKATIBU WAPYA WA MIKOA CCM


Halmashauri Kuu ya Taifa ya Taifa ya CCM inayoendelea na kikao chake cha siku mbili tarehe 23-24 Novemba, 2011 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na mambo mengine imeazimia yafuatayo;-
a.     Imewapongeza Makatibu watano wa mikoa waliomaliza muda wao wa utumishi kwa mujibu wa sheria (Wamestaafu) na kumpangia majukumu mengine Katibu mmoja wa Mkoa. Makatibu hao ni kama ifuatavyo;-
1.     Ndg. John Barongo                        – Mkoa wa Dodoma
2.     Ndg. Mohamed Mbonde - Mkoa wa Shinyanga
3.     Ndg. Fratern Kiwango                  - Mkoa wa Rukwa
4.     Ndg. Faustine Kamaleki                - Mkoa wa Kagera
5.     Ndg. Ramadhan Ali                        - Mkoa wa Mjini Magharibi
Ndg. Mouldline Castico aliyekuwa katibu wa mkoa wa Kigoma kapangiwa majukumu mengine makao makuu ya chama.
b.     MAKATIBU WAPYA WA MIKOA WALIOTEULIWA NI;-.
1.     Ndg. Mohamed Nyawenga
2. Ndg. Peza Mwamlima
3.  Ndg. Zainabu Shomari
4.     Ndg. Abdillah Mihewa
5.     Ndg. Joyce Masunga
6.     Ndg. Rahel W. Degeleke
Makatibu wapya wa mikoa watapangiwa vituo vya kazi baadae. 
Imetolewa na:-
Nape M. Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
ITIKADI NA UENEZI
23/11/2011

2 comments:

  1. Sinde Warioba,Samwel Malechela,Fredrick Sumaye,Salim A.Salim,Abrahaman Kinana,Kingunge Ngombale Mwiru na Aman A.Karume chama kikisambaratika kama KANU historia itawahukumu.

    ReplyDelete
  2. Mdau tufafanulie una maana gani? maoni yako hayo yanahusiana vipi na uteuzi wa makatibu wa mikoa?

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages