Breaking News

Your Ad Spot

Nov 11, 2011

ZIARA YA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) TANZANIA

*NI LIU  YUNSHAN AMBAYEPIA NI MJUMBE WA SEKRETARIET YA KAMATI KUU YA CPC NA MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA HICHO
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mjumbe wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba (walioshikana kulia) wakizungumza na vijana wa vyuo vikuu waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kumpokea mgeni huyo kutoka China na ujumbe wake.
Viongozi wa CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (wapili kushoto) katika mapokezi ya ugeni huo kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JN
Ndege ya Capital Airline ya China ikiwasili na ugeni huo kwenye Uwanja wa JN Dar es Salaam
 Liu (mbele) akishuka na ujumbe wake kwenye ndege
Katibu Mkuu wa CCM, Mukama akimlaki mgeni Liu

 Mukama na Liu wakisalimiana
                                      Mukama akimtambulisha Nape kwa Liu
                                                       Liu akimsalimia Nape
 Liu akimsalimia Mwigulu. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma
Liu akimsalimia Asha Abdallah Juma
 "HUYU NDIYE KAIBU MKUU WETU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM" Mukama akisema wakati anamtambulisha Katibu Mkuu wa UVCCM, Martinr Shigella kwa Bwa. Liu.
Katibu Mkuu wa CCM, Mukama, Nape na Mwigulu wakiwa na Liu (kulia) kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa JN baada ya mgeni huyo kuwasili
 Wapiga matarumbeta wakionyesha umahiri wao mbele ya Liu
 Liu na Katibu Mkuu wa CCM wakitazama ngoma ya asili ya mkoa wa Mara
 Halafu akawa tayari kuondoka Uwanja wa Ndege huku akishangiliwa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages