Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2011

ZIARA YA MBUNGE MO JIMBONI KWAKE SINGIDA MJINI

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na waumini wa kanisa la FPCT  wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha vijana wa Kanisa hilo.

:Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana wa kanisa la FPCT  kucheza kwaya.

Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi MO kama shukrani ya kutembelea kanisa hilo.

Mbunge MO akizindua  kituo cha vijana cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel

MO Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo.(Picha zote na MO BLOG).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages