Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2011

NAPE AKUNWA NA MSANII WA THT

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) jana alimsindikiza kwenye kampuni ya StarsTimes, Mwenge, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan, akakutana na burudani ya wasanii wa THT yaani Tanzania House Of Talent. Akamtazama kijana Hasaan wa kundi hilo alivyo hodari wa kujinyonga- nyonga katika sarakasi, Akasema 'Naam umeiva kijana"...
 Akamfuata huyo msanii.....
Akatoa msimbaz''i mfukoni na kusongea zaidi
 Akamtuza, lakini msanii huyo hakuweza kupokea tuzo yake mara moja kwa kuwa alikuwa bado hajakaa pozi linalomruhusu
 Nape akavuta subira ili ahakikishe anamkabidhi tuzo yake
Msanii huyo akaipokea zawadi huku akiendelea kufanya vitu vyake

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages