Breaking News

Your Ad Spot

Nov 13, 2011

RAIS DK SHEIN MJINI RAS AL KAHIMAH

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kushoto)akiwa pamoja na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,wakishuhudia utiaji saini makubaliano  kuhusu ushirikiano wa kukuza sekta mbali mbali za maendeleo,ambapo kwa upande wa Zanzibar Waziri wa kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Mhe Haroun Ali Suleiman,na  Sheikh Abdullah Bin Humaid Al Qasimi kwa upande wa Ras Al Khaimah,saini hizo zimetiwa katika ukumbi wa kasri ya Sheikh Soud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,mwenyeji wake Kiongozi wa  Ras Al Khaimah,wakati alipowasili katika  kasri ya kiongozi huyo Mjini Ras Al Kahimah jana akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano wa mashirikiano na kukuza maendeleo ya sekta mbali mbali za maendeleleo,kama Afya,Elimu,Biashara nyenginezo za maendeleo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages