Breaking News

Your Ad Spot

Nov 13, 2011

STARS KUREJEA LEO KUTOKA CHAD

Timu ya Taifa, Taifa Stars inarejea leo mjini Dar es Salaam baada ya kupata ushindi wa mabao  2-1 dhidi ya timy ta Chad juzi, Baada ya kurejea nchini itajiandaa na mechi ya marudiano na timu hiyi itakayopigwa Jumanne wiki hii.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages