Breaking News

Your Ad Spot

Nov 13, 2011

ATHARI ZA VURUGU MBEYA

Vitanda katika  Zahanati ya Ipinda, iliyopo Mwanjelwa jijini Mbeya vikiwa vimebaki wazi baada ya wagonjwa waliokuwa wamevilalia kuviacha kwa taharuki na  kukimbia  baada ya bomu la machozi lililopingwa na  polisi kutua ndani ya wodi wakati wa vurugu za machinga na polisi mjini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages