Breaking News

Your Ad Spot

Dec 20, 2011

BENDERA AFUNGUA KONGAMANO LA KWANZA LA WARATIBU WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF

 Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kulia) pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani wakati wa kongamano hilo.

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera , akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo.
 Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee akifafanunua mambo wakati wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba (kulia), akiwaeleza waratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), umuhimu wa kuuboresha mfuko huo kwa faida kizazi cha sasa na kijacho, wakati wa kongamano la kwanza la waratibu wa mfuko huo nchini, lililofanyika kwenye Hoteli ya Kisasa ya Nashera, mjini Morogoro.
 Bnndwra akiagana na EWmmanuel Humba
Moja ya makundi ya Waratibu wa CHF, wakijadiliana jinsi ya kuweka mikakati ya uboreshaji wa mfuko huo.(picha zote  na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages