Breaking News

Your Ad Spot

Dec 11, 2011

GHANA 1- SIMBA 0

Wachezaji wa timu ya Simba wa wakichuana vikali na mchezaji wa Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo jioni.

Asante Kotoko imefanikiwa kuifunga Simba katika kipindi cha pili goli 1-0 huku Simba  ambayo ilichezesha kikosi cha pili ikionyesha uwezo mkubwa katika mchezo huo jambo lililowafanya mashabiki kuwashangilia wachezaji hao baada ya mpira kumalizika, lengo la mchezo huo ni kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Picha: Full Shangwe






1 comment:

  1. http://forum.ib-scheer.de/post.php?tid=72374
    http://negomjob.ru/index.php/topic/40663-replica-watches-uk/index.php?app=forums&module=post&section=post&do=reply_post&f=10&t=40663

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages