Breaking News

Your Ad Spot

Dec 13, 2011

KAMBI LA ILALA YAMFUA BONDIA UBWA

 Bondia Ubwa Salumu kushoto akioneshana kiwango cha utupwaji wa masumbwi na Abuu Mtabwe wakati wa mazoezi yanayoendelea ya kambi ya Ilala Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika desemba 25 katika ukumbi wa Herniken mtoni Kijichi Jijini Dar es salaam kusindikiza mpambano wa Maneno Osward na Rashidi Matumla siku hiyo.
 Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala
.(picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages