Breaking News

Your Ad Spot

Dec 2, 2011

MR EBBO aka ' MIMI MMASAI' AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyotufikia imeeleza kwamba mwanamuziki huyo (pichani) aliyewahi kuwa machachari katika muziki wa miondoko ya kizazi kipya na producer wa Motika Records aliyependa kujinadi zaidi katika miondoko ya Kimasai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda si mrefu sana akiwa mkoani Tanga alikokuwa anaishi/ Kwa mujibu wa habari hizo, inafanyika mipango ya kusafirisha mwili a marehemu kwenda jijini Arusha kwa ajili ya mazishi. Baadhi ya nyimbo zilizomtoa Mr Ebbo ni pamoja na ule wa "Mimi Mmsai Bwana"

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages