Breaking News

Your Ad Spot

Dec 1, 2011

BUSH ATINGA IKULU YA DAR ES SALAAM; AMPONGEZA JK

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages