Rais Jakaya Kikwete akizungumza na na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Migiro na Balozi Mulamula leo December 15, 2011 ktk hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje kidogo ya Kampala kunakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) ambapo Balozi Mulamula ndio amemaliza rasmi muda wake wa kufanya kazi kama Katibu Mtendaji wa ICGLR na kumuachia kiti Prof Lumu Alphonse Ntumba Luaba (59) wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269