Breaking News

Your Ad Spot

Dec 16, 2011

MATUMIZI MABAYA YA CHANDARUA !!!!!

Mkazi wa Kawe, katika Manispaa ya Kinondoni nje kidogo ya Jiji la  Dar es Salaam, akiwa amebadili matumizi ya chandarua kwa kuamua kutumia chandarua chake kuikinga miche ya nyanya isidhuriwe na wanyama au ndege waharibifu kwenye kitalu chake cha kukuzia miche hiyo kama ilivyoshuhudiwa na mdau wetu leo. Chandarua hicho ni moja ya vile vyandarua vilivyotolewa dezo kwa kila familia kulingana na idadi ya watoto ikiwa ni juhudi za serikali kupambana na maralia.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages