Breaking News

Your Ad Spot

Dec 1, 2011

SHEREHE ZA MWENGE WA UHURU DAR

 Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Devis Mwamunyange ili naye awakabidhi viongozi watakaopeleka mwenge huo kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro, sherehe za kuzima mwenge huo zilifanyika leo kwenye  Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Safu ya viongozi watakaopandisha Mwenge Mlima Kilimanjaro. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages