Breaking News

Your Ad Spot

Jan 11, 2012

BALAZA LA MITIHANI LA TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA WATAHINIWA KULIPIA ADA KWA MASHINE ZA SELCOM

Programu Mwandamizi wa kompyuta Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Ulrick Mkenda (kulia) akionyesha mashine ya Selcom Pay Point, ya kulipia ada ya mitihani, wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam  leo. kwa watahinbiwa wa kujitegemea wa kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Selcom, Juma Mgori. (Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages