.

MAJINA YA WALIMU WALIOPATA AJIRA MPYA WATANGAZWA

Jan 19, 2012

 Tunatambua kuwa Wanavyuo wenzetu walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao sasa walimu wahitimu wamepewa ajira mpya Nafasi hizo zilitangazwa rasmi, jana usiku. Kama wadau tunapenda kuwasilisha majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa.
Kutazama Majina ya walimu walio pata Ajira peruzi 
 
www.tzwanavyuo.blogspot.com

Imeandaliwa na,
Matukio na Wanavyuo Crew
www.tzwanavyuo.blogspot.com
twanavyuo@live.com

1 Comments:

Anonymous said...

yako wapi nsasa hayo majina?

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª