Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2012

BABA AMSAKA MTOTO KWA TUHUMA ZA WIZI

Kijana Salim Issa (Pichani) anatafutwa na Baba yake mzazi kwa tuhuma za wizi. Baba yake Issa Ally Mnguo amedai kwamba kijana huyo ametoweka nyumbani tangu siku ya Jumatatu iliyopita. Mnguo ameomba mtu yeyote mwenye mawasiliano na kijana huyo au atakayemuona popote pale atoe taarifa katika kituo cha polisi au awasiliane na mzazi wa kijana huyo kwa nambari za simu zifuatazo:- 0754 571810 au 0755 847787. Kwa mujibu wa baba, Salim Issa hupenda kutembelea maeneo ya Kibaha, Soga na Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages