Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2012

WAZIRI SULUHU ATEMBELEA UJENZI WA TAASISI YA BAHARI CHUKWANI,UNGUJA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akitembelea Ujenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari huko Chukwani Mjini Unguja kulia Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayanzi ya Bahari Dk Margare Kyewalyanga kushoto DK Narriman Jiddawi (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages