Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Daharia la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Korongwe Beach , iliyopo Wilaya ya Nkasi, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Rukwa na Katavi, jana Februari 21, 2012. Kulia kwake ni mkewe Mama Asha Bilal. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika jengo la Daharia la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Korongwe Beach , iliyopo Wilaya ya Nkasi, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Rukwa na Katavi, jana Februari 21, 2012. Kushoto kwake ni mkewe Mama Asha Bilal. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda Mti wa kumbukumbu nje ya  jengo la Daharia la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Korongwe Beach , iliyopo Wilaya ya Nkasi, baada ya kuzindua Daharia hilo wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Rukwa na Katavi, jana Februari 21, 2012. Nyuma yake ni  mkewe Mama Asha Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa Korongwe kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Rukwa na Katavi jana Februari 21, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages