Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2012

BNKI YA POSTA YAFANYA MAMBO ZANZIBAR

Benki ya Posta Tanzania imekabidhi sh.milioni 5 kwa shule ya Chumbuni Zanzibar ukiwa ni msaada wa kununulia madawati kwa shule hiyo. Pichani Meneja mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi mfano wa hudi kwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pereira Ame Silima katika sherehe iliyofanyika kwenye shule hiyo LEO
Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages