Breaking News

Your Ad Spot

Mar 14, 2012

KAMPENI ZA CCM ARUMERU LEO ZATINGA VIJIJINI

 Meneja kampeni za CCM,uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba (kulia) akimnadi mgombea wa CCM jimbo hilo, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo,  katika kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni
 Mama Sioi akimuombea kura mumewe, mgombea ubunge wa CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye kampeni zilizofanyika kijiji cha Shambarai kata ya Mbuguni jimboni humo leo.
  Wananchi wa kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni, wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika kata hiyo
 Mgombea ubunbge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiwasalimia kinamama wa  kijiji cha Shambarai Kata ya Mbuguni kabla ya mkutano wa kampeni za CCM leo.CM za uchaguzi mdogo jimboni humo leo.
 Sioi akiagana na wananchi baanda ya mkutano kijiji cha Shambarai
 Mama Sioi(wapili kulia) akihiriki kuselebuka muziki wa hamasa za Chama, uliporomoshwa katika kijiji cha Msitu wa Mbogo kata ya Mbuguni kabla ya kuanza kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo leo.

"Tupo na ninyi" wanafunzi wa shule ya msingi Msitu wa Mbogo wakisema huku wakionyesha dole gumba msafa wa mgombea ubunge wa CCM Sioi Sumari ulipowasili kwenye mkutano wa kampeni kwenye Uwanja uliopo jirani na shule hiyo katika kata ya Mbuguni, leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages