Breaking News

Your Ad Spot

Mar 14, 2012

MCT WAKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania,ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo,chini Makamo Mwenyekiti wa baraza hilo,Chande Omar,(wa  pili kulia) pia Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazji ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages