Breaking News

Your Ad Spot

Mar 8, 2012

WATEJA 100 WA VODACOM WAJISHINDIA Sh. 50,000 KILA MMOJA KATIKA DROO YA SIKU YA PROMOSHENI YA M-PESA

Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa Vodacom Bw. Matina Nkurlu akionesha nambari za washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh. 50,000 kila mmoja. Wanaoshuhudia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi Reenu Verma na Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid.Droo hiyo imechezeshwa leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages