Breaking News

Your Ad Spot

Mar 8, 2012

RAIS KIKWETE APOKEA MABALOZI WATATU WAPYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utamblisho za mabalozi watatu wanaoziwakilisha  nchi zao hapa Tanzania.  Mabalozi hao waliowasilisha hati zao Ikulu mjini Dar es Salaam,  Hani Bin Abdullah bin Mohamed  Mu’minah wa Saudi Arabia, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Mentecillo Padilla wa Vatican, na Bi. Judith Kangoma Kapijimpanga wa Zambia. Pichani, Balozi mpya wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Montecillo Padilla akiwasilisha hati zake kwa Rais Kikwete. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Antony Itatiro.(picha na Freddy Maro-Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages