Breaking News

Your Ad Spot

Mar 30, 2012

MKAPA ATUA ARUMERU KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

1 comment:

  1. ninamwamini Mkapa, Timu ya Kampeni na CCM kwa ujumla TUTAIBUKA KIDEDEA pamoja na mbinu chafu za ujanjaujanja wanazotumia

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages