Breaking News

Your Ad Spot

Mar 1, 2012

MPIGA SAX WA SIKINDE ATIMKIA MSONDO

Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages