Breaking News

Your Ad Spot

Mar 16, 2012

ZITTO KABWE AKUTANA NA RAIS WA ZAMANI WA ZAMBIA KENETH KAUNDA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa na Rais wa zamani wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda, alipoenda Ofisini kwa muasisi huyo wa Taifa la Zambia, mjini Lusaka, mapema wiki hii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Zitto Kabwe)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages