.

KUTANA MAJEMBE WA MTAZAMO BARBER SHOP, RAMSO & G BEST

Apr 18, 2012

 Mkurugenzi wa Mtazamo Barber Shop, Ramso akiwa katika pozi wakati akisubiri wateja katika kiwanja chake kilichopo Kawe, Dar es Salaam.
 Ramso akifurahia jambo  ndani ya Barber shop hiyo
 Ramso akipitia gazeti la Mwananchi kujua habari za wabunge wa bunge la Afrika Mashariki waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dom
 Ramso akiwa na Mkurugenzi mwenzake G. Best wakisubiri wateja kwenye Barber Shop hiyo iliyopo mitaa ya Kawe, wilaya ya Kino.
 Ramso akimyoa mwenzake moja ya staili kali za Barber Shop yao
 Kijana Ramso katika pozi
Kijana G. Best akipata News kwenye Mwananchi.
     Mtazamo Barber Shop inapatikana mkoani Dar es Salaam, wilaya Kinondoni, mitaa ya Kawe, Ukwamani mita kadhaa kutoka kituo cha Dladala cha Kanisani, Vinyozi wa Barber Shop hii ni mahiri wa kunyoa mitindo ya aina zote unayoijua duniani.
      Kwa mahitaji ya huduma hizo wasiliana nao kwa  simu: +255 (0) 652 222 210, +225 (0) 717 454 510, +255 (0) 717 248 250,  Email: jurasmo@yahoo.com, gbest12@ymail.com.

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª