Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Garib Bilal akizindua mfumo wa malipo ya michango ya wanachama wa Mfuko wa GEPF kupitia huduma ya Airtel Money, katika hoteli ya Gold Crest,jijini Mwanza. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha Airtel Money, Asupya Nalingigwa, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Fedha Gregory Teu na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya GEPF, Ladislaus Salema.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269