.

MWENEYEKITI NA WAJUMBE WA KAMATI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA WALIPOAPISHWA

Apr 14, 2012

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Sinde Warioba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni ya Katiba mpya, katika hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Tume hiyo, Ikulu mjini Dar es Salaam.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช