.

NAPE NA VICKY WAZURU MNARA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE MOROGORO

Apr 13, 2012

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mbunge wa viti Maalum CCM, Vicky Kamata wakisoma maadishi kwenye mnara wa kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine, leo mkoani Morogoro wakiwa njiani kwenda Dar es Salaam wakitokea Dodoma

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช