.

RAIS KIKWETE ATANGAZA WAJUMBEA WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Apr 6, 2012

Rais Jakaya Kikwete leo ametangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ikiwa ni mwendelezo wa mchakato wa kuelekea kwenye upatikanaji wa Katiba mpya. Pichani, Rais Jakaya Kikwete akitangaza majina ya wajumbe hao. Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Dk, Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi na Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani wakishuhudia.  


Ifuatayo ni Orodha hiyo kama ilivyotangazwa na Rais Kikwete

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,
Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________
  
UONGOZI WA JUU
1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA  -Mwenyekiti
2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI  -Makamu Mwenyekiti

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA
 1. Prof. Mwesiga L. BAREGU 
 2. Nd. Riziki Shahari  MNGWALI 
 3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
 4. Nd. Richard Shadrack LYIMO
 5. Nd. John J. NKOLO
 6. Alhaj Said EL- MAAMRY
 7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU
 8. Prof. Palamagamba J. KABUDI
 9. Nd. Humphrey POLEPOLE
 10. Nd. Yahya MSULWA
 11. Nd. Esther P. MKWIZU
 12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA
 13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
 14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
 15. Nd. Joseph  BUTIKU

  WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR
 1. Dkt. Salim Ahmed SALIM
 2. Nd. Fatma Said ALI
 3. Nd. Omar Sheha MUSSA
 4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD
 5. Nd. Awadh Ali SAID
 6. Nd. Ussi Khamis HAJI
 7. Nd. Salma MAOULIDI
 8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED
 9. Nd. Simai Mohamed SAID
 10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
 11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
 12. Nd. Suleiman Omar ALI
 13. Nd. Salama Kombo AHMED
 14. Nd. Abubakar Mohammed ALI
 15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH

 UONGOZI WA SEKRETARIETI
 1. Nd. Assaa Ahmad RASHID  -Katibu
2. Nd. Casmir Sumba  KYUKI  -  Naibu Katibu

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช