.

KANUMBA AFARIKI DUNIA

Apr 7, 2012

Habari tulizopata zimesema Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Steven Kanumba amefariki dunia.


Habari zinasema Kanumba amefariki usiku wa kuamkia leo.


Kwa mujibu wa habari hizo, Kanumba amefariki baada ya ugomvi uliotokea nyumbani kwake Sinza , Dar es Salaam mida ya saa sita usiku.


Taarifa ya habati ya TBC imeonyesha tukio hilo, mwili wa Marehemu Kanumba ukipelekwa chumba cha kuhifadhi maiti kiasi cha saa tisa usiku ambako umehifadhiwa. 


Chanzo cha ugomvi hakijaelezwa kwa kina na bila shaka kitajulikana muda si mrefu

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช