.

TAMASHA LA MICHEZO LA SUNRISE NURSERY & PRIMARY SCHOOLS LEO

Apr 5, 2012

 Vijana wa Skauti wa shule hiyo wakiwakaribisha viongozi wa shule na mgeni rasmi kwenye tamasha la michezo ambalo hufanyika kila mwaka, lililofanyika leo viwanja wa Leaders' Club , Dar es Salaam
 Viongozi wa shule na mgeni rasmi wakishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya michezo kuanza rasmi
 Wanafunzi wakijiandaa kuanza mchezo wa kukimbia mita 100
 Wanafunzi wakijiandaa kwa mbio za mita 100 
 Kisha wakaanza kutimua mbio kumpata mshindi kati yao
 Watoto wakikimbia katika viroba
 Watoto wakijaza maji katika chupa kabla ya kuendelea na mbio za mita q100
Watoto wa Furaha Ruhende wa Uhuru FM, Amani, Imani na dada yao Sophia ambao wanasoma shule hiyo wakiwa kwenye tamasha hilo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª