.

UCHAGUZI ARUMERU:CHADEMA YAANZA KUONGOZA VITUO VYA MIJINI

Apr 1, 2012

Wakati upigaji kura ukiwa umemalizika tangu saa kumi kamili jioni hii, matokeo yaliyoanza kubandikwa yanaonyesha kuwa CHADEMA inaongoza katika vituo kadhaa vya mjini ikiwemo eneo la Liganga walikoweka kambi yao wakati wa kampeni. Taarifa zaidi zitanedelea kuja baadaye

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช