.

JOSHUA NASSARI NDIYE MSHINDI ARUMERU

Apr 2, 2012

Joshua Nassari, Mbunge Mteule Arumeru Mashariki

CHADEMA-32,972
CCM        -26,757
AFP         -139
DP          -77
NRA         -35
SAU         -22
TLP          -18
UPDP        -18
Hayo ndiyo matokeo rasmi yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi, leo baada ya uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki mkoa wa Arusha uliofanyika  jana.
Mbunge Mteule wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari akiwa na   Nyerere wakati wa shamra shamra baada ya kukabidhiwa hati yake ya ushin di leo

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª