.

WABUNGE WA CCM WACHAGUA WAGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI LEO

Apr 3, 2012

 Mwenyekiti wa wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (watatu kushoto) akiendesha kikao cha wabunge cha kura za maoni za wagombea wa ubunge Afrika Mashariki kupitia CCM, leo katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. (Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Ali Seif Iddi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM, Abdulrahman Kinana na wengine  kutika kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Dogo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnayue na Katibu wa Wabunge wa CCM Jenister Muhagama ambao wanasimamia uchaguzi huo.
 Baadhi ya wabunge wanaowania kuchaguzliwa wakinyoosha mikono kukubaliana na baadhi ya taratibu zilizotakiwa kutumika kwneye uchaguzi huo
Karibu wa wabunge wa CCM Jenister Mhagama akizungumza kabla ya shughuli za uhaguzi huo kuanza. Kulia ni Katibu NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi huo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª