Mtayarishaji Mkuu wa Mtandao wa Nkoromo Daily Blog, akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru (kulia), baada ya semina ya Ma-blogger kuhusu uendeshaji mitandao na maadili ya urushaji habari kwenye mitandao hiyo, na namna ya kukidhi malengo ya watangazaji au wadhamini wa mtandao husika. Semina hiyo ya siku moja ilifanyika leo Makao Makuu ya Mampuni hiyo, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL Teddy Mapunda. Zaidi ya Ma-Blogger kumi wamehudhuria semina hiyo.
Your Ad Spot
May 17, 2012
Home
Unlabelled
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAWAPA 'MA-BLOGGER' SEMINA YA UENDESHAJI MITANDAO YA HABARI NA MAADILI YAKE.
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAWAPA 'MA-BLOGGER' SEMINA YA UENDESHAJI MITANDAO YA HABARI NA MAADILI YAKE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269