.

MBIO ZA KIJANA MWAKIBINGA KUWANIA UENYEKITI WA UVCCM KATA YA KAWE

May 10, 2012

Kada wa CCM, James Mwakibinga amekabidhi fomu yake leo ya kuwania Uenyekiti wa UVCCM Kata ya Kawe katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni katika kata hiyo. Pichani, akimkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa UVCCM wa Kata hiyo, Aisha Katundu

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช